Namungo yatangulia Sumbawanga, Simba kutua Ijumaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2020
Namungo yatangulia Sumbawanga, Simba kutua Ijumaa

Timu ya Namungo FC, imewasili Sumbawanga kuikabili Simba kwenye mechi ya fainali za Kombe la FA itakayochezwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini humo mwishoni mwa wiki.

Msafara wa timu hiyo ukuwa na wachezaji 22 uliwasili Sumbawanga jana ukitokea Mwanza walikotoka kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu dhidi ya Alliance ambapo walipoteza kwa mabao 3-2 uliofanyika Uwanja wa Nyamagana.

Akizungumza kutoka Sumbawanga, kocha wa timu hiyo, Hitimana Thierry alithibitisha hilo na kudai kikosi hicho kinatarajiwa kuanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo huo leo.

Wakati Namungo ikiwahi Sumbawanga, Simba imeweka kambi ya siku tatu mkoani Mbeya wakijiandaa na mchezo huo ambao utapigwa siku ya Jumapili

Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wanafanya mazoezi yao kwenye uwanja wa Sokoine na wanatarajiwa kuelekea mkoani Rukwa siku ya Ijumaa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’