Serikali yaipokea hoja ya Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2020
Serikali yaipokea hoja ya Mo

Msemaji wa Serikali Dk Hassan Abbas amesema wameipokea hoja iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' aliyependekeza uwanja wa Taifa ubadilishwe jina na kuitwa uwanja wa Benjamin William Mkapa

Mo alitoa hoja hiyo jana katika kumuenzi Rais wa Awamu ya Tatu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania marehemu Mzee Mkapa aliyefariki mwishoni mwa wiki

Serikali imesema hoja yake itafanyiwa kazi baada ya taratibu za Mazishi ya Rais huyo Mstaafu kufanyika

"Hoja nzuri sana, tumeichukua na tutaifanyia kazi. Kama tunavyofahamu uwanja wa Taifa ulijengwa kwa jitihada za Mzee Mkapa. Baada ya mazishi nafikiri tunaweza kulijadili hilo," alisema Dk Abbasi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’