Kikosi cha Yanga kesho Jumatatu, Disemba 02 2019 kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Ni moja ya michezo ya viporo ya Yanga ambayo iliahilishwa wakati mabingwa hao wa kihistoria walipokuwa wakitekeleza majukumu ya Kimataifa
Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo Mzunguuko ni Tsh 3,000/- wakati upande wa VIP A ni Tsh 15,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 10,000/-
Mechi itapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
ADVERTISE HERE