Fainali ASFC kupigwa saa tisa Alasiri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2020
Fainali ASFC kupigwa saa tisa Alasiri

Mchezo wa fainali kombe la Shirikisho maarufu (ASFC) unatarajiwa kupigwa uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa kuanzia saa tisa Alasiri

Azam TV ambao watarushwa mchezo huo 'mbashara', wamethibitisha kuwa utaanza saa tisa Alasiri

Aidha, kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF mapema, vilabu vya Simba na Namungo Fc vinatarajiwa kuwasili mkaoni Rukwa Julai 30

Julai 31 timu hizo zitashiriki katika shughuli maalum za kijamii zilizoandaliwa hapo Sumbawanga

Mabingwa wa nchi Simba waliondoka mapema leo mkoani Kilimanjaro ambako jana walicheza mchezo wa ligi dhidi ya Polisi Tanzania na kupata ushindi wa mabao 2-1

Walirejea jijini Dar es salaam kisha kuunganisha ndege ya kuelekea mkoani Mbeya wanakotarajiwa kupumzika kabla ya kuelekea Rukwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’