Bocco anogesha ubingwa Moshi, Polisi Tanzania yafa 2-1

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jul 2020
Bocco anogesha ubingwa Moshi, Polisi Tanzania yafa 2-1

Mabingwa wa nchi Simba wamekamilisha hesabu za msimu huu kibabe baada ya kuichapa Polisi Tanzania mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Ushirika, Moshi

Mabao yote ya Simba yaliwekwa kambani na nahodha John Bocco huku lile la kufutia machozi kwa upande wa Polisi Tanzania lilifungwa na Marcel Kaheza kwa mkwaju wa penati

Simba imemaliza msimu ikifikisha alama 88 ikifuatiwa na Yanga iliyokamilisha msimu ikiwa na alama 72, mbele ya Azam Fc yenye alama 70

Timu za Lipuli Fc, Ndanda na Alliance Fc zimeteremka daraja wakati Mbeya City na Mbao Fc zitacheza michezo ya Play-off

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’