Tutamaliza changamoto ya kuruhusu mabao - Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2019
Tutamaliza changamoto ya kuruhusu mabao - Tshishimbi

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi amesema wanafanyia kazi changamoto ya kuruhusu mabao kila mchezo na anaamini watarekebisha tatizo hilo

Jana Yanga iliruhusu bao la saba msimu huu katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Alliance Fc ikiwa imeshuka dimbani mara saba

Ina wastani wa kufungwa bao moja katika kila mchezo

"Mwalimu anatuelekeza jinsi ya kuzuia ili tusifungwe lakini sisi kama wachezaji pia tunazungumza turekebishe makosa haya," amesema

Yanga imerejea jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari kwa mchezo dhidi ya KMC ambao utapigwa keshokutwa Jumatatu Disemba 02 kwenye uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’