Matola kurudi shule kuongeza CV

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jul 2020
Matola kurudi shule kuongeza CV

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola anatarajia kurejea darasani kukamilisha mafunzo ya ukocha leseni A

Matola anamiliki leseni daraja B inayotolewa na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), leseni hiyo inamnyima fursa ya kuwa kocha mkuu

Kocha huyo mwenye mafanikio katika nafasi yake, na hata wakati akisakata kabumbu kunako klabu ya Simba, amethibitisha mpango huo wa kurejea darasani

"Ni kweli, natarajia kurudi darasani kusomea kozi ya ukocha leseni A, inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ,mimi kama mimi nina leseni B ya ukocha ambayo inanikosesha sifa ya kuwa kocha mkuu wa timu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara," alisema

Matola alijiunga na Simba mwishoni mwa mwaka 2019akitokea klabu ya Polisi Tanzania ambayo alikuwa kocha msaidizi

Kabla ya kujiunga na Polisi Tanzania, Matola alikuwa kocha msaidizi wa Lipuli Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’