FT : Alliance Fc 1-2 Yanga, VPL Nov 29

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2019
FT : Alliance Fc 1-2 Yanga, VPL Nov 29

Mshambuliaji David Molinga 'Falcao' leo ameihakikishia Yanga ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Alliance Fc baada ya kuifungia timu hiyo bao la ushindi

Molinga alifunga bao la pili la Yanga kwenye dakika ya 71 baada ya kupokea pasi murua kutoka kwa Deus Kaseke

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba uliishuhudia Yanga ikifunga bao la kuongoza kwenye dakika ya 25 kupitia kwa Patrick Sibomana

Hata hivyo Alliance Fc walisawazisha mwanzoni mwa kipindi cha pili kupitia kwa Juma Nyangi aliyeachia mkwaju baada ya kupata nafasi ndani ya eneo la 18

Baada ya kosakosa za hapa na pale hatimaye Molinga akafunga bao la pili lililoihakikishia Yanga ushindi muhimu wa tatu ugenini

Matokeo hayo yanamfanya kocha Charles Mkwasa kuendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 tangu alipokabidhiwa majukumu ya kuinoa Yanga mapema mwezi huu

Aidha Molinga amefikisha mabao manne akifuatiwa kwa karibu na Patrick Sibomana mwenye mabao matatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’