Wakati wakiwa njiani kuelekea wilayani Moshi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Polisi Tanzania, wachezaji wa Simba wameshiriki zoezi la uzinduzi wa Tawi la klabu hiyo Wilayani Same
Mabingwa hao wa nchi pia walishiriki kuwakabidhi kadi za Mashabiki zinazotolewa na Benki ya Equity kwa Wanachama wa Tawi hilo
Hii ndio timu ya wenye Nchi..!





ADVERTISE HERE