Diamond kuibuka na wimbo maalum wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jul 2020
Diamond kuibuka na wimbo maalum wa Simba

Msanii nyota wa muziki hapa nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ambaye ni shabiki wa Simba, ameahidi kuitungia wimbo maalum klabu hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kama sehemu ya kudhihirisha mapenzi yake kwa Wekundu wa Msimbazi hao.

Sambamba na hilo, mkali huyo wa muziki, ameahidi kuifuata timu hiyo mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, itakapocheza na Namungo FC wiki ijayo katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kwenye Uwanja wa Nelson Mandela.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Diamond alisema:

"Kila mtu anajua kama naipenda timu yangu ya Simba na sio kuipenda tu, bali binafsi ni shabiki mkubwa wa timu hiyo na sio kwa sababu najiita Simba, ni shabiki kabisa wa damu.

"Natamani sana kuwepo katika uwanjani katika mechi hiyo (fainali ya ASFC), napenda kusapoti, muda ukiruhusu nitakuwepo kuisapoti timu yangu kwa kuwa ina kikosi imara nina uhakika watashinda.

"Simba wakishinda (dhidi ya Namungo), nitawatungia wimbo maalum kwaajili yao, wachezaji na mashabiki wa timu hiyo, ndio uwezo nilionao wa kuwaonyesha mapenzi yangu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’