Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limesema tarehe 31 mwezi ujao ndio siku ya mwisho kwa vyama vyote wanachama kuwasilisha majina ya vilabu vitakavyowakilisha nchi katika michuano ya klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu ujao
Wawakilishi pekee wa Tanzania kwa michuano hiyo msimu ujao ni Simba na Namungo Fc ambazo mpaka sasa zina tiketi licha ya msimu kuwa bado haujafika mwisho
Simba itakwenda kucheza ligi ya mabingwa wakati Namungo itacheza kombe la Shirikisho
ADVERTISE HERE