Milioni 50 yaweka mezani ushindi dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2019
Milioni 50 yaweka mezani ushindi dhidi ya Simba

Mchezo wa kwanza wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga utapigwa January 04 2020 kwenye uwanja wa Taifa

Kampuni ya GSM ambayo imekuwa ikitoa Milioni 10 kwa kila mchezo wa ligi ambao Yanga inashinda, imeahidi kutoka kitita cha Tsh Milioni 50 kwenye mchezo huo

Afisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema GSM imetoa ahadi hiyo wakati anamkabidhi Sh 10 milioni Nahodha msaidizi Juma Abdul jana baada ya ushindi wa bao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania

"Katika mchezo wetu dhidi ya Simba wadhamini wetu GSM wanatatoa Sh 50 milioni hii ni kubwa kuliko, kwahiyo wachezaji hilo mkae mkijua kabisa tunahitaji ushindi katika mchezo huo," alisema

Aidha Nugaz amesema utaratibu huo utaendelea kwa michezo mingine huku ukubwa wa dau ukitegemea umuhimu wa mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’