Namungo yakaribia kukata tiketi CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jul 2020
Namungo yakaribia kukata tiketi CAF

Namungo Fc imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho (ASFC) baada ya kuichapa Sahare All Stars bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga

Edward Charles Manyama aliihakikishia Namungo ushindi huo muhimu ambao umewasogeza mlangoni karibu kupata tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao

Iko hivi, siku ya kesho Namungo watakuwa wakiombea Simba iweze kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga na kuweza kutinga fainali

Hatua hiyo itawahakikishia tiketi ya kushiriki michuano hiyo namba mbili kwa ukubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika hata kama watafungwa na Simba kwenye mchezo wa fainali

Simba tayari inayo tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu, hivyo kama itatinga fainali itakachohitaji ni kombe tu, nafasi ya pili ya ushiriki watawaachia Namungo

Hiyo kwa mujibu wa kanuni za michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’