Mabingwa wa nchi Simba tayari wamerejea jijini Dar es salaam, wakipokea na idadi kubwa ya Mashabiki uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Masfara huo utasindikizwa mpaka Msimbazi, yalipo Makao Makuu ya Simba


ADVERTISE HERE