Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Rais wa GSM, Bilionea Gharib Said Mohamed ambaye anaidhamini Yanga kupitia kampuni zake
Mapema mwaka huu wakati wa kilele cha KUBWA KULIKO, Gharib aliichangia Yanga Tsh Mil 300
Kupitia GSM ambayo ndio wasambazaji rasmi wa jezi za Yanga, amekuwa akitoa Tsh Milioni 10 kwa kila ushindi wa Yanga kwenye ligi ambapo ameahidi kuuendeleza utaratibu huo msimu mzima
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii maalum kwake
Happy birthday Gharib Said Mohamed..
ADVERTISE HERE