Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo Mkenya Francis Kahata anayekipiga ndani ya Simba Sc, mabingwa wa nchi hii
Ungekuwa muujiza kama Simba isingetwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu kutokana na kikosi cha wababe hao wa soka ukanda huu wa Afrika Mashariki kusheheni mafundi kwelikweli
Huyu Kahata ni moja ya viungo bora ambao Kenya, Afrika Mashariki na klabu yake Simba inajivunia kuwa nae
Ni miongoni mwa wachezaji waliobarikiwa kipaji cha kusakata kabumbu. Mpira unapokuwa mguuni mwake, unatii kile anachotaka kufanya
Tunamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa fundi huyu wa mpira
Happy Birthday Francis Kahata...!
ADVERTISE HERE