Manara awaambia Yanga wajiandae kisaikolojia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jul 2020
Manara awaambia Yanga wajiandae kisaikolojia

Afisa Habari na Msemaji wa Simba, Mabingwa wa nchi, Haji Manara amesema wanauchukulia kwa uzito mkubwa mchezo wao wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Yanga ambao utapigwa Julai 12 katika uwanja wa Taifa

Manara amesema mchezo huo utawapa heshima yao, wao ndio mabingwa wa nchi hii na hakuna timu yoyote nchini ambayo inaweza kupimana nao ubavu

Aidha Manara amesema watailipia Kagera Sugar dhurma waliyofanyiwa na Waamuzi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga

"Tuliusubiri kwa hamu mchezo huu, tunamshukuru Mungu ametukutanisha nao. Lengo kuu ni kushinda mataji mawili msimu huu, hivyo siku hiyo hatutakuwa na huruma"

"Wamenusurika mara ya kwanza, wakanusurika mara ya pili, safari hii hatutawaacha," alitamba Manara

"Lakini pia juzi kuna dhurma ilifanyika kwenye mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar, hatuwezi kuacha hivihivi lazima ilipwe. Wao walitaka nusu fainali kwa kudhurumu sasa wameipata na wajiandae kisaikolojia"

Kuelekea mchezo huo, mashabiki wa Simba wameonekana kujiamini na kutambia ubora wa timu yao huku wenzao wa Yanga wakiingiwa na hofu hasa baada ya kuishuhudia Simba ikicheza 'kandanda la kutisha' kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’