Mpaka sasa nyota kadhaa wanahusishwa na Yanga dirisha dogo la usajili ambalo litafunguliwa Disemba 16
Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amethibitisha kuwa atakifanyia maboresho kikosi chake, atakabidhi mapendekezo yake kwa uongozi wiki ijayo
Hapa tumekuwekea orodha ya wachezaji ambao wengine ni tetesi lakini wapo wengine ambao taarifa za michakato ya kuwasajili zipo
Wachezaji kutoka Tanzania
Shiza Kichuya (winga)
Ismail Kada (winga)
Bakari Mwamnyeto (beki)
Ditram Nchimbi (mshambuliaji)
Nje ya Tanzania
Haruna Niyonzima (kiungo)
Erick Rutanga (beki-kushoto)
Michael Sarpong (mshambuliaji)
ADVERTISE HERE