Wakati Simba ikitoa adhabu kwa Azam Fc mchezo wa kombe la FA, kiungo wa mabingwa hao wa nchi Sharaff Elden Shiboub alikuwa jukwaani akishuhudia mtanange huo
Shiboub alitua nchini mapema leo tayari kuungana na mabingwa hao wa nchi kwa ajili ya kukamilisha mechi zilizobaki kwani tayari kombe limetulia Msimbazi..
ADVERTISE HERE