Kiungo mshambuliaji wa Yanga Patrick Sibomana 'PS' yuko nchini Msumbiji na kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda
Leo saa moja jioni watawakabili wenyeji wao Msumbiji kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya Afcon 2021

Sibomana ni mmoja wa nyota wanne wa Yanga ambao watakuwa na majukumu ya timu za Taifa wiki hii
Wengine ni Metacha Mnata, Kelvin Yondani na Abdulaziz Makame 'Bui' wote wakiwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakayoshuka dimbani kesho kuikabili Equatorial Guinea
ADVERTISE HERE