Simba yajifua uwanja wa Bandari Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jan 2018
Simba yajifua uwanja wa Bandari Dar
Kikosi cha Simba chini ya kocha wake mkuu Pierre Lechantre kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Bandari jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Majimaji utakaopigwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jumapili, Januari 28.

Simba inayoongoza ligi ikiwa na alama 32 haijapoteza mchezo wowote msimu huu katika ligi na benchi la ufundi limedhamiria kumaliza mzunguuko wa kwanza bila kufungwa.

Mbali na hamasa ya kumuona Lechantre raia wa Ufaransa akisaidiana na Masoud Djuma na Mohamed Habibi, mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa Bandari ulio Tandika jijini Dar es salaam, walivutiwa na kinara wa mabao Emanuel Okwi ambaye ameamua kunyoa kipara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’