Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo watashuka kwenye uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya kuikabili Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Mchezo huo una umuhimu wa kipekee kwa Simba kwani ushindi utawasogeza karibu na ubingwa wa tatu mfululizo
Leo mji wa Mbeya utapendeza kwa rangi nyeupe na nyekundu mashabiki wakinza mapemaa sherehe za ubingwa
Simba inaweza kuondoka Mbeya na kombe kama itashinda mechi zote mbili wakianza na Mbeya City kisha Tanzania Prisons kama Azam Fc itashindwa kupata ushindi katika mechi zao dhidi ya Kagera Sugar na Biashara United
ADVERTISE HERE