Kituo kinachofuata, Mbeya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jun 2020
Kituo kinachofuata, Mbeya

Baada ya ushindi dhidi ya Mwadui Fc, kikosi cha Simba kinatarajiwa kusafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya mechi mbili za ligi kuu dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons

Wakiwa wanahitaji alama 10 'kusepa' na ubingwa wa tatu mfululizo, Juni 24 Simba watashuka uwanja wa Sokoine kuumana na Mbeya City

Juni 27 watarejea tena katika uwanja huo kuwavaa Tanzania Prisons

Ushindi katika mechi hizo utawasogeza Simba karibu na ubingwa wa tatu kwani watafikisha alama 81

Baada ya michezo hiyo, Simba watarejea jijini Dar es salaam kuwakabili Azam Fc katika mchezo wa robo fainali kombe la FA ambao utapigwa Julai 01 2020

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’