Chama kuanza na Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2020
Chama kuanza na Mwadui Fc

Mashabiki wa Simba jana walihoji alipo kiungo Clatous Chama 'CCC' ambaye alikosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting uliomalizika kwa timu hizo kugawana pointi kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Kuchelewa kujiunga na timu imetajwa kuwa sababu ya kinara huyo wa pasi za mabao kukosa mchezo wa jana

Chama alipewa program maalum ya mazoezi na kocha Sven Vandenbrock ambayo alikuwa akiendelea nayo

Kuanzia wiki hii Chama anatarajiwa kuungana na wachezaji wengine katika maandalizi kuelekea mchezo unaofuata dhidi ya Mwadui Fc

Mchezo huo utapigwa Juni 20 kwenye uwanja wa Taifa

Bila shaka Chama atakuwa tayar kurejea kikosini katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’