Kamati ya mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) imependekeza michuano ya vilabu ya Klabu bingwa Afrika na Kombe la shirikisho ifanyike September 2020.
CAF imependekeza mechi za kwanza za nusu fainali zpigwe kati ya tarehe 4, 5 na 6 September na marudiano kuchezwa terehe 11, 12 na 13 September.
Fainali ya kombe la shirikisho ni tarehe 23 September wakati kwa michuano ya ligi ya mabingwa fainali itapigwa tarehe 25 September.
ADVERTISE HERE