Yanga yatambulisha viongozi wapya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2019
Yanga yatambulisha viongozi wapya

Klabu ya Yanga imetambulisha viongozi wapya watatu ambao wamepewa majukumu mbalimbali kuisaidia Kamati ya Utendaji

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Mwenyekiti wa klabu hiyo Dkt Mshindo Msolla amesema nafasi ya Kaimu Katibu Mkuu imefanyiwa mabadiliko ambapo Dismas Ten aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amepewa majukumu mengine

Dk Msolla amesemaThabithy Kandorro ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa mashindano, pia anakuwa Kaimu Katibu Mkuu

Simon Patrick ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wakati Robert Kabeya anakuwa Mkurugenzi wa Masoko na Biashara

Ten atakuwa Afisa Masoko wa klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’