Baada ya kuifumua Yanga mabao 3-0 hapo jana, leo vijana wa Kinondoni, KMC watakaribishwa dimba la Mo Simba Arena kuumana na mabingwa wa nchi, Simba
Mchezo huo wa kujipima nguvu, ni sehemu ya maandalizi ya timu hizo kabla ya kurejea kwa ligi kuu ngwe ya lala salama
Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa kirafiki kwa kikosi cha Sven Vandenbroeck ambaye ametaka angalau mechi mbili za kirafiki kabla ya kuivaa Ruvu Shooting Juni 14
ADVERTISE HERE