Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limemteua aliyewahi kuwa Afisa Habari wa Yanga Baraka KIZUGUTO kuwa 'Assistant General Coordinator (AGC)' katika Fainali za Mataifa Afrika kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 23 (TOTAL U23 Africa Cup of Nations 2019)
Fainali za U23 zitafanyika jijini Cairo nchini Misri kuanzia Novemba 08 -22, 2019 zikishirikisha timu nane ambapo timu tatu za juu zitafuzu kucheza Fainali za Olympik 2020 zitakazofanyika nchini Japan
Hongerza Kizuguto...!
ADVERTISE HERE