Wawa afunguka kupangwa na Azam Fc, FA Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jun 2020
Wawa afunguka kupangwa na Azam Fc, FA Cup

Beki kisiki wa klabu ya Simba Paschal Wawa amesema mchezo dhidi ya Azam Fc wa michuano ya kombe la FA hautakuwa mwepesi

Msimu huu Wawa ameshiriki michezo yote mitatu ambayo Simba ilicheza na Azam Fc na mabingwa hao wa nchi kushinda yote

Mchezo wa robo fainali baina ya timu hizo ambao utapigwa Julai 01, utakuwa wa nne

Wawa amesema Azam Fc ni moja ya timu bora, hata hivyo wamejipanga kuhakikisha wanashinda ili waweze kutinga nusu fainali

Simba imepania kushinda taji la FA, ili kuhakikisha wanamaliza msimu na mataji matatu, wakiwa tayari wameshinda Ngao ya Jamii na wanakaribia kuhifadhi taji la Ligi Kuu kwa msimu wa tatu mfululizo

"Azam ni timu nzuri tunaijua na tukikutana ushindani unakuwa mkubwa lakini tutajipanga kuhakikisha tunapata matokeo ya ushindi na kuingia nusu fainali," alisema

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’