Huyu Kabwili mbona 'ndani' anakamua tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Oct 2019
Huyu Kabwili mbona 'ndani' anakamua tu

Kikosi kilichotolewa kabla ya mchezo dhidi ya Pyramids Fc, kiliibua maswali mengi miongoni mwa Wanayanga wengi wakihoji uwepo wa walinda lango wawili, Metacha Mnata na Ramadhani Kabwili sehemu ya wachezaji wa akiba

Hata hivyo Kabwili ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo na ushambuliaji hivyo aliwekwa katika kikosi kama mchezaji wa ndani baada ya nyota wengi kuwa majeruhi

Kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Pamba Fc Kabwili alimuachia Metacha majukumu ya langoni na yeye kuchukua nafasi ya Maybin Kalengo pale alipoumia

Juzi Yanga ilikuwa na wachezaji sita tu wa akiba kabla ya Juma Balinya kuongezwa baadae

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’