Mabadililo ya Ratiba ASFC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2020
Mabadililo ya Ratiba ASFC

Bodi ya ligi kuu imefanya mabadiliko madogo ya mechi za robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho (ASFC) ambazo zilipangwa kupigwa mwisho wa mwezi huu

Kulingana na ratiba mpya iliyotolewa, mchezo kati ya Simba dhidi ya Azam Fc ambao awali ulipangwa kupigwa June 28, sasa utapigwa Julai mosi na hivyo mabadiliko hayo kuathiri mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba

Mchezo dhidi ya Prisons umerudishwa nyuma kwa siku mbili na sasa utapigwa June 28 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’