Massau Bwire aanza tambo, dawa yake inachemka!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2020
Massau Bwire aanza tambo, dawa yake inachemka!

Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire anafahamika kwa maneno yake mengi pale timu yake inapokwenda kucheza na Simba

Mwalimu huyo mahiri wa Hisabati ameanza tambo zake kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Juni 14 katika uwanja wa Taifa

Bwire ametamba kuwa Simba wasitegemee kupata urahisi kwenye mchezo huo.

"Maandalizi yetu yameanza kwa kasi na kabla ya ligi haijasimama tulikuwa tumejipanga kucheza na mkubwa huyo wa Kariakoo, lakini kutokea kwa dharura na kusimamishwa kwa michezo, kambi yetu imerejea kwa kasi kujipanga dhidi ya Simba na kutimiza malengo ya kuchukua pointi tatu," alisema Bwire

Katika misimu ya hivi karibuni Simba imekuwa ikitoa vipigo vikali kwa Ruvu Shooting kila timu hizo zinapokutana

Katika mchezo wa duru ya kwanza, Simba iliibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0

Kipigo ambacho Bwire hawezi kukisahau ni kile cha mwaka juzi, ambapo Simba ilishinda mabao 7-0

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’