Nyosso nusura auwe shabiki Kaitaba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jan 2018
Nyosso nusura auwe shabiki Kaitaba
Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso anashikiliwa na jeshi la polisi mijini Bukoba kwa tuhuma za kumshambulia shabiki mmoja baada ya mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba uliomalizika kwa Simba kushinda 2-0 kwenye uwanja wa Kaitaba.

Tukio hilo lilitokea baada ya mchezo huo kumalizika ambapo wakati wachezaji wa Kagera Sugar wakielekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, inaelezwa baadhi ya mashabiki wa timu hiyo walikuwa wakiwatolea maneno makali wachezaji wao kiasi kwamba Nyoso alishindwa kuzuia hasira zake na kumpiga mmoja wa mashabiki hao ambaye alizimia papo hapo.



Baada ya tukio hilo, shabiki aliyeshambuliwa na Nyoso alipatiwa huduma ya kwanza na kikosi cha msalaba mwendu kilichokuwepo uwanjani hapo huku Nyoso akikamatwa na polisi waliokuwepo uwanjani kulinda mali na usalama wa raia.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’