Sven awapa ombi maalum TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 May 2020
Sven awapa ombi maalum TFF

Mkufunzi wa klabu ya Simba Sven Vandenbroeck amesema vilabu vinahitaji angalau wiki tatu za mazoezi ili kujiweka sawa kabla ya mechi za lala salama kuanza kutimua vumbi

Simba imeanza rasmi mazoezi jana jioni, chini ya kocha Sven na Selemani Matola

Kocha huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia, amesema wachezaji wamekaa nje kwa zaidi ya miezi miwili bila ya kucheza mpira, hivyo muda utahitaji ili kuwarejesha katika hali ya ushindani waliokuwa nao awali

"Miezi miwili bila ya kucheza mpira ni muda mrefu sana. Nadhani tutahitaji angalau wiki tatu kufanya mazoezi ya pamoja kabla ya kuanza kucheza mechi za ushindani. Hili ni muhimu pia katika kulinda afya za wachezaji," alisema Sven muda mfupi baada ya kumaliza mazoezi uwanja wa Mo Simba Arena jana jioni

Wakati Sven akitoa pendekezo hilo, taarifa za awali zinadai huenda mechi za ligi kuu zikaanza kupigwa Juni 15

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’