Beki mahiri Shomari Kapombe ameshukuru kurejea katika kikosi cha Simba baada ya kukaa nje kwa miezi sita akiuguza majeraha ya mgongo.
Akizungumza baada ya mchezo wa jana dhidi ya Kagera Sugar, Kapombe amemshukuru Mwenye ez Mungu kwa kumuwezesha kurejea kwenye kazi yake baada ya kuwa nje kwa muda mrefu.
Ameahidi kuendelea kujituma na kuipa mafanikio klabu yake ya Simba ambayo iliamsajili Julai mwaka jana kutokea klabu ya Azam FC.
Kapombe alitengeneza bao la pili la Simba lililofungwa na nahodha John Bocco kwenye mchezo ambao Simba ilishinda kwa mabao 2-0

ADVERTISE HERE