Mchezaji asiyefanya mazoezi atajulikana - Matola

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2020
Mchezaji asiyefanya mazoezi atajulikana - Matola

Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema wachezaji ambao hawafanyi mazoezi kama wanavyoelekezwa, ligi itakaporejea watajulikana

Matola ameeleza kuwa wapo wachezaji ambao wanazembea program ambazo wamepewa na benchi la ufundi, jambo lisilopendeza

Matola alisema ligi ikirejea wachezaji wazembe watakuja kuumbuka, kwani watashindwa kuonesha walichokuwa wanafanya wakiwa nyumbani."

"Mchezaji anayejitambua na anayependa kazi yake hawezi kukubali awe anasimamiwa kila wakati ila kwa wale ambao bado wanapuuzia muda wao unakuja kwani ligi ikirejea watajulikana tu kwa matendo wataumbuka,” alisema Matola

Matola amewataka wachezaji wazingatie mazoezi waliyopewa kwa kuwa wana kazi kubwa ya kutetea ubingwa wao.

Hivi karibuni benchi la ufundi la Simba likiongozwa na kocha Sven Vandenbroeck lilikutana na wachezaji wa timu hiyo ambapo pamoja na mambo mengine waliweka mkakati wa kjiweka tayari kwa kurejea kumalizia mechi zilizobaki pale Serikali itakapotoa ruhusa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’