Kikosi cha Simba kiko mkoani Kagera tangu jana ambapo leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Ntungamo seminary.
Mazoezi yanasimamiwa na kocha msaidizi Masudi Djuma ambapo baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar keshokutwa atakabidhi mikoba kwa kocha Mkuu.
Benchi la ufundi limeahidi kuondoka na alama zote tatu.Bila shaka hilo litafanikiwa kutokana na ubora wa kikosi.

ADVERTISE HERE