Gor Mahia yapewa ubingwa Ligi Kuu Kenya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2020
Gor Mahia yapewa ubingwa Ligi Kuu Kenya

Rais wa shirikisho la soka la Kenya (FKF) Nick Mwendwa ameitangaza Klabu ya Gor Mahia kuwa mabingwa wa nchi hiyo kufuatia uwezekano wa kurejea kwa ligi kuu kuwa ngumu kutokana na Janga la kidunia la Corona

Mwendwa amesema ni ngumu kupanga ratiba ya mechi 11 zilizobaki kwa sasa kwa kuwa haijulikani lini hali itatengemaa

"Tumetumia kanuni tulizoanza nazo za ligi ambazo zinasema, ikiwa timu zimecheza karibu Asilimia 75 za mechi na kisha ligi kushindwa kumalizika kwa sababu maalum, msimamo utabaki kama ulivyo kwa wakati huo," amesema

Hata hivyo Bodi ya Ligi hiyo imepinga uamuzi uliochukuliwa na FKF wakidai kuwa hawana mamlaka ya kuitangaza Gor Mahia kuwa bingwa

Bodi hiyo inadai kuwa bado ni mapema, wamaamini muda wa kuchezwa mechi zilizosalia utapatikana baada ya changamoto ya corona kwisha

Pengine uamuzi kama huo huenda ukachukuliwa hapa nchini kwani bado kuna idadi kubwa ya maambukizi ya corona huku Serikali ikisubiriwa kutoa mwongozo kuhusu hatma ya ligi kuu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’