Mo azidi kuin'garisha Simba Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2020
Mo azidi kuin'garisha Simba Afrika

Mwekezaji wa klabu Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameendelea kuin'garisha klabu hiyo baada ya kuingia kwenye orodha ya mabilioni watano wanaomiliki vilabu barani Afrika

Kulingana na takwimu zilizotolewa na jarida la Forbes, Mo mwenye utajiri unaofikia Dola Bilioni 1.6, anashika nafasi ya nne

Sawaris, Bilionea kutoka nchini Misri ambaye anamiliki hisa nyingi kunako klabu ya Aston Villa, ndiye kinara katika orodha hiyo akiwa na utajiri unaofikia Dola Bilioni 7.5

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’