Kocha mpya wa Simba Pierre Georges Le Chantre leo amesaini rasmi mkataba wa kuifundisha klabu ya Simba.
Imeelezwa kocha huyo amesaini mkataba wa miaka miwili sambamba na kocha wa viungo Aimeen.
Kocha Le Chantre ataanza kuinoa Simba baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar.

ADVERTISE HERE