Mshambuliaji Obrey Chirwa raia wa Zambia jana ameshindwa kufanya mazoezi na kikosi cha Yanga akikabiliwa na majeruhi.
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 aliumia kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa lakini majeraha yake sio makubwa amehitaji mapumziko ya siku chache.
Mshambuliaji mwingine Donald Ngoma anaendelea na matibabu ya misuli akitarajiwa kurejea dimbani mwanzoni mwa wiki ijayo.

ADVERTISE HERE