Miquissone aukumbuka mshuti wake dhidi ya Biashara United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Apr 2020
Miquissone aukumbuka mshuti wake dhidi ya Biashara United

Kwa sasa mashabiki wa Simba wanakosa burudani kutoka kwa nyota wao kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona

Hata hivyo kwa sasa ni muhimu zaidi kulinda afya na uhai kwa kufuatia maelekezo yote ili kujikinga na ugonjwa huo

Kiungo mshambuliaji wa Simba Luis Miquissone yeye yuko kwao nchini Msumbiji ambako amekwama kurejea nchini kutokana na janga hilo

Katika mahojiano aliyofanya na mtandao wa klabu ya Simba, Miquissone alieleza 'kumis' majukumu yake hasa kuwapa burudani na furaha mashabiki wa mabingwa hao wa nchi

Miquissone aliyetua Simba mwezi Januari, amepachika mabao matatu

Katika mabao hayo aliyofunga, bao analolikumbuka zaidi ni lile alilofunga dhidi ya Biashara United

Lilikuwa ni bao lake la kwanza Simba, akifunga kwa shuti kali la mguu wa kulia

Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa Taifa Februari 22 na Simba kufanikiwa kuibuka na ushindi mabao 3-1

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’