Sven kuwabana wachezaji watakao-kacha mazoezi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2020
Sven kuwabana wachezaji watakao-kacha mazoezi

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amewasisitizia wachezaji wake kutekeleza program za mazoezi aliyowaachia baada ya ligi kusimama

Nyota wote wa Simba wako majumbani kwao wakifanya mazoezi binafsi wakati huu Serikali ikiendelea na jitihada za kudhibiti ugonjwa wa corona ambao ni tishio duniani

Sven amesema ligi itakaporejea wanahitaji kuendeleza pale walipoishia kuhakikisha wanakamilisha azma yao ya kutwaa ubingwa mapema

"Tumewaelekeza wachezaji wetu kufanya mazaoezi huko makwao, ni muhimu ili tutakapokutana tena tusiwe na kazi kubwa ya kufanya. Kwa wale ambao watapuuza program tutawabaini, tutwachukuli hatua"

"Ligi ilisimama wakati tukiwa katika kiwango bora sana, tunapaswa kulinda kiwango hicho," alisisitiza Sven

Aidha Mbelgiji huyo amesema ni muhimu kwa TFF kutoa muda wa maandalizi kwa timu zote pale ligi itakaporejea kwani makocha watahitaji kuwaunganisha wachezaji ambao kwa sasa kila mmoja anafanya mazoezi kivyake

"Nadhani ligi itakaporejea tutahitaji kupewa angalau wiki mbili kuunganisha timu zetu, bila hivyo timu zitakuwa na wakati mgumu sana"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18m ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
15h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
16h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
18h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’