Yanga inahitaji maboresho ya kiufundi - Mayay

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2019
Yanga inahitaji maboresho ya kiufundi - Mayay

Mchambuzi wa soka nchini Ally Mayay ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya ufundi ya klabu ya Yanga, amesema baada ya kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, timu hiyo inahitaji kufanyiwa maboresho ya kiufundi ili iweze kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shiriksho

Yanga jana ilifungwa mabao 2-1 na Zesco United katika mchezo ambao pengine ungeamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati kama kiungo Abdulaziz Makame asingejifunga kwenye dakika ya 79

Mayay amesema Yanga inahitaji kupata matokeo kwenye mchezo mmoja wa play-off ili iweze kutinga makundi, lakini inahitaji maboresho na kiufundi

"Kwa kuwa timu inaenda katika play-off ya kombe la Shirikisho, na inahitaji kupata matokeo yatakayoivusha hatua na kuingia katika makundi, kiufundi kikosi kinahitaji kufanya maboresho ya kimfumo ili kuweza kupata matokeo na kutimiza malengo msimu huu 2019/2020," amesema

Wakati ikisubiri kumfahamu mpinzani wake wa kombe la Shirikisho, Yanga inarejea kwenye ligi kuu ambapo kulingana na ratiba, Oktoba 02 itacheza na Polisi Tanzania katika mchezo utakaopigwa uwnaja wa Uhuru

Hata hivyo mchezo huo huenda ukapigwa Oktoba 03

Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Coastal Union nao ukipigwa uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’