Beki bora kwangu ni Nyoni - Kennedy

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Apr 2020
Beki bora kwangu ni Nyoni - Kennedy

Beki wa kati wa Simba Kennedy Juma amesema anavutiwa na beki mkongwe kiraka Erasto Nyoni anayecheza nae klabu ya Simba

Kennedy ambaye leo alipata nafasi ya kuwa kwenye kipindi cha ChatNa, amesema alianza kumfuatilia Nyoni tangu wakati yuko klabu ya Singida United

"Beki ambaye namkubali zaidi nchini ni Erasto ni beki mzuri na hata nilipokuwa Singida United nilikuwa namkubali," amesema

Kennedy alitua Simba usajili uliopita akitokea klabu ya Singida United

Beki huyo mwenye mwili 'jumba' amekuwa akitumika kama mbadala wa Paschal Wawa au Nyoni inapotokea nyota hao wameumia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’