Msafara wa mashabiki wa Yanga waliosafiri kwenda Ndola nchini Zambia kuiunga mkono timu yao kwenye mchezo dhidi ya Zesco, umewasili jijini humo
Yanga ilitumia mabasi matano kuwasafirisha mashabiki wake zaidi ya 300 ambao wataungana na Watanzania waishio Zambia kuiunga mkono Yanga katika mchezo ukaopigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa
Yanga imeandaa tiketi zaidi ya 500 kwa ajili ya mashabiki wake
ADVERTISE HERE