Hatma ya ligi inasubiri maelekezo ya Serikali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Apr 2020
Hatma ya ligi inasubiri maelekezo ya Serikali

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema ligi kuu ya Vodacom haitaendelea baada ya siku 30 zilizotolewa awali, kuwa watasubiri maelekezo mengine kutoka kwa Serikali

Siku 30 za kusitisha shughuli zote za michezo yenye mikusanyiko zilizotolewa na Waziri Mkuu Mh Kassim majaliwa, zitamalizika April 17

Karia amesema hakuna mchakato wowote kuhusu ligi hiyo ambao unaendelea mpaka pale Serikali itakapotoa maelekezo

Kuna uwezekano mkubwa ligi haitarejea siku za karibuni kutokana na kuongeza kwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini

Taarifa iliyotolewa na Serikali jana, imebainisha kuwa mpaka sasa wagonjwa wa corona wamefika 32, waliofariki ni watatu wakati wagonjwa waliopona ni watano

Watu zaidi ya 200 wako kwenye vutuo mbalimbali vya karantini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’