Kiungo fundi wa klabu ya Simba Ibrahim Ajib jana alitimiza ahadi yake baada ya kutembelea vituo vya watoto yatima na kuwapa misaada ya kujikinga na virusi vya corona
"Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uwezo wa kufanikisha jambo hili. Pia ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wangu na wadau wote kwa kufanikisha katika hili," alisema Ajib


ADVERTISE HERE