Mwenyekiti wa Yanga DK Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, amemtangaza rasmi mwanahabari Hassani Bumbuli kuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga na Antonio Nugaz kuwa Afisa Uhamasishaji wa klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE