Sven aomba timu zipewe muda wa kujiandaa Ligi ikirejea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2020
Sven aomba timu zipewe muda wa kujiandaa Ligi ikirejea

Kocha mkuu wa timu ya Simba, Sven Vandenbroeck ameliomba Shirikisho la soka Tanzania (TFF) liwape muda wa wiki mbili kujiandaa ligi ikirejea baada ya kumalizika kwa mlipuko wa homa ya virusi vya Corona.

Mbelgiji huyo amesema anafahamu wachezaji hawatakuwa na muunganiko sawa kwakua watakuwa hawajapata muda wa kufanya mazoezi ya pamoja kutokana na kusimama kwa ligi. Ligi kuu ya Vodacom

Michezo yote nchini imesimama kwa wiki ya tatu sasa kutokana na mlipuko wa homa ya virusi vya Corona ambayo inazidi kutikisa dunia kila kukicha.

"Nadhani tunahitaji kupewa wiki mbili za kujiandaa kufanya mazoezi ya pamoja baada ya hali kuwa shwari ili wachezaji wawe na muunganiko na ushindani uwe mkubwa kama ilivyokuwa mwanzoni," alisema Sven.

Mpaka ligi hiyo inasimama Simba ilikuwa ipo kileleni mwa msimamo ikiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28 ikisalia na michezo 10.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’